KWA NINI TUOMBE
Wakati kila mtu alikuja mbele ya Bwana, Angefungua kitabu na kusoma ndani yake mambo yote ambayo huyo mtu alitenda. Kila kitu kilinakiliwa; na Bwana aliso kitabu chote kutoka mwanzo hadi mwio. Kilo mtu katika ule mlolongo alihukumiwa na kwenda jehanamu. Kilwa wakati Bwana angemwambia mtu amehukumiwa huyo mtu angeanza piga mayowe na kulia akimwomba Bwan ampe nafasi mara moja tuu. Bwana alitiririkwa na machozi mengi akitikisa kichwa chake akiwambia kila mmja wao ya kwamba alimpa nafasi nyingi ulimwenguni kutubu na kuokoka ili aje kuishi na bwana mbinguni lakini walipuuza. Hii iliendelea kwa mda.
Mara nyingina Bwana akageuka kwangu mara hii na gadhabu. Alikuwa bado analilia mioyo zinazohukumiwa. " Kwa hakika unaelewa kinacho fanyika hapa?" akaniuliza Bwana. " Tazama!!" Hatimaye, shimo lilifunguka nyuma ya mlolongo wa watu. Nilitazama kwenye shimo hilo. Kulikuwa na giza kingi sama kutoka shimoni. Nilisika vilio, mayowe, na kelele toka shimoni. "Nenda uangalie" Bwana aliniamuru. Sikutaka kwenda. Niliogopa, lakini nguvu kama mkono ulinisukuma kutoka nyuma kunisukuma hadi kwenye ukingo wa hilo shimo jeusi.
Nili songa nyuma kutoka kwa ukingo wa lile shimo kwa hofu na uoga mwingi sana. Nilimugekia Bwana alie kuwa amekaa kwenye kiti chake cha enzi. Alikuw bado a soma kutoka kwenye vitabu vya hukumu. Niliona kitita kibubwa bila kikomo cha msongamano cha vitabu karibu na kiti cha Enzi. Nakikajua ya kwamba wale wote ambao witabu vyao vimeandikwa wanaenda kuhukumiwa. Niliangalia laini ndefu bila kikomo ya watu ambao walikuwa mbele ya Bwana walingoja hukumu yao. Sasa nikaona kila uso sura yake vizuri kikamilifu. Walikuwa marafiki wangu, jamii yangu and jamaa wangu. Na walikuwa wanahukumiwa. Naliona wakitupwa kwenye lile shimo nyeusi ndefu, nilisikia wakilia na kusaga memo na kupiga nduru ya uchungu walipo anguku kwenye lile shimo nyeusi. Bwana alinigeukia kwa machozi ya kimtiririka mashavuni nakusema "sasa omba". Nikaanza kulia na kupiga nduru kwa Bwana Mungu kuhurumia hawa watu asiwahukumu kwenda motoni. Kila mtu alipohukumiwa, nilikimbia kwenye ukingo wa lile shimo kujaribu kuzuia naku jaribu kuwavuta nyuma ili wasianguke mule shimoni. Ninge washika kwanguvu mikono yao na kujaribu kuwazuia lakini wangepita mikononi mwangu bila shida na kuingio shimoni kwa kishindo. Nilikuwa na hofu na maangaiko kwa kujaribu kuoko wapendwa wangu wasianguke kwenye lile shimo la moto wa kutisha. Nilikimbia nikashika Bwana Mungu na mkono mmoja na mwingine nikijaribu kutoa wale walio hukumiwa kwenye lile shimo la moto bila kufaulu. "Acha kunishika" Bwana Mungu aliniambia. "Nikikuacha nitaingia shimoni mimi" nikalilia Mungu. "Acha kunishika" Bwana Mungu alisema tena. Nilimwachilia. Nilihisi mikono ya nguvu isioonekana ilinishika kwa nguvu. Nililala chini karibu na ukingo wa lile shimo la moto na kuelekeza mikono yangu mle ndani kuzuia wasiingie mule shimoni. Nilisikia na kuhisi na chomeka na mwiale and moto kutoka mule shimoni. Wakati mwingine nilihisi makucha makali yakinichuna kwa nguvu kutoka mule shimoni. Niliona mikono yangu ikichomeka na pia alama na mikwaruzo ya makucha.
--Hollie L. Moody |