0^ZaburiKITABU CHA KWANZAFuraha Ya KweliHuzuni Ya WaovuMfalme Aliyechaguliwa Na MunguUshindi Wa MfalmeSala Ya Asubuhi Ya Kuomba MsaadaZaburi ya Daudi. Alipomkimbia mwanawe Absalomu.Sala Ya Jioni Ya Kuomba MsaadaKwa mwimbishaji. Kwa ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Daudi.Sala Kwa Ajili Ya Ulinzi Wakati Wa HatariKwa mwimbishaji. Kwa filimbi. Zaburi ya Daudi.Sala Kwa Ajili Ya Msaada Wakati Wa TaabuKwa mwimbishaji. Kwa ala za nyuzi za muziki. Mtindo wa sheminithi.6:0 Sheminithi ni mtajo mmojawapo katika lugha ya uimbaji. Zaburi ya Daudi.Sala Ya Mtu AnayedhulumiwaOmbolezo la Daudi kwa Bwana kwa sababu ya Kushi, Mbenyamini.Utukufu Wa Mungu Na Heshima Ya MwanadamuKwa mwimbishaji. Mtindo wa gitithi. Zaburi ya Daudi.Shukrani Kwa Mungu Kwa Ajili Ya Haki YakeKwa mwimbishaji. Mtindo wa muth-labeni.9:0 Muth-labeni ni mtajo mmojawapo katika lugha za muziki. Zaburi ya Daudi.Sala Kwa Ajili Ya HakiKumtumaini BwanaKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Kuomba MsaadaKwa mwimbishaji. Mtindo wa sheminithi. Zaburi ya Daudi.Sala Ya Kuomba MsaadaKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Uovu Wa WanadamuKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Kitu Mungu AnachotakaZaburi ya Daudi.Sala Ya MatumainiUtenzi wa Daudi.Sala Ya Mtu Asiye Na HatiaSala ya Daudi.Wimbo Wa Daudi Wa UshindiKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi mtumishi wa Bwana aliyomwimbia Bwana wakati Bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli. Alisema hivi:Utukufu Wa Mungu Katika UumbajiKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Maombi Kwa Ajili Ya UshindiKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Shukrani Kwa Mungu Kwa Ajili Ya UshindiKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Kilio Cha Uchungu Na Wimbo Wa SifaKwa mwimbishaji. Mtindo wa utenzi wa “Kulungu wa Alfajiri.” Zaburi ya Daudi.Bwana Mchungaji WetuZaburi ya Daudi.Mfalme MkuuZaburi ya Daudi.Kumwomba Mungu Uongozi Na UlinziZaburi ya Daudi.Maombi Ya Mtu MwemaZaburi ya Daudi.Sala Ya KusifuZaburi ya Daudi.Kuomba MsaadaZaburi ya Daudi.Sauti Ya Bwana Wakati Wa DhorubaZaburi ya Daudi.Maombi Ya ShukraniUtenzi wa kuweka wakfu hekalu. Zaburi ya Daudi.Maombi Na Sifa Kwa Kuokolewa Kutoka Kwa AduiKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Furaha Ya MsamahaZaburi ya Daudi. Funzo.Ukuu Na Wema Wa MunguSifa Na Wema Wa MunguZaburi ya Daudi, alipojifanya mwendawazimu mbele ya Abimeleki, ambaye alimfukuza, naye akaondoka.Kuomba Msaada: Kuokolewa Kutokana Na MaaduiZaburi ya Daudi.Uovu Wa MwanadamuKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi mtumishi wa Bwana.Mwisho Wa Mwovu Na Urithi Wa Mwenye HakiZaburi ya Daudi.Maombi Ya Mtu AnayetesekaZaburi ya Daudi. Maombi.Maombi Ya Mtu AnayetesekaKwa mwimbishaji. Mtindo wa Yeduthuni. Zaburi ya Daudi.Wimbo Wa SifaKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Maombi Ya Mtu MgonjwaKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.KITABU CHA PILIMaombi Ya Mtu Aliye UhamishoniKwa mwimbishaji. Utenzi wa wana wa Kora.Maombi Ya Mtu Aliyeko Uhamishoni YanaendeleaKuomba Ulinzi Wa MunguKwa mwimbishaji. Utenzi wa wana wa Kora.Wimbo Wa Arusi Ya KifalmeKwa mwimbishaji. Mtindo wa utenzi wa “Yungiyungi.” Utenzi wa wana wa Kora. Wimbo wa arusi.Mungu Yuko Pamoja NasiKwa mwimbishaji. Zaburi ya wana wa Kora. Mtindo wa alamothi.Mtawala Mwenye Enzi YoteKwa mwimbishaji. Zaburi ya wana wa Kora.Sayuni, Mji Wa MunguWimbo. Zaburi ya wana wa Kora.Upumbavu Wa Kutegemea MaliKwa mwimbishaji. Zaburi ya wana wa Kora.Ibada Ya KweliZaburi ya Asafu.Kuomba MsamahaKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Baada ya kukemewa na nabii Nathani kwa kuzini na Bathsheba.Hukumu Ya MunguKwa mwimbishaji. Utenzi wa Daudi. Baada ya Doegi, Mwedomu kumwendea Sauli na kumjulisha kuwa: “Daudi amekwenda nyumbani kwa Ahimeleki.”Neema Ya MunguUovu Wa WanadamuKwa mwimbishaji. Mtindo wa mahalathi. Utenzi wa Daudi.Kuomba Ulinzi Wa Mungu Kutokana Na AduiKwa mwimbishaji. Na ala za nyuzi za uimbaji. Utenzi wa Daudi. Wakati Wazifu walimwendea Sauli na kumjulisha, “Je, Daudi hajifichi miongoni mwetu?”Maombi Ya Mtu Aliyesalitiwa Na RafikiKwa mwimbishaji. Na ala za uimbaji. Utenzi wa Daudi.Kumtumaini MunguKwa mwimbishaji. Mtindo wa “Njiwa mkimya wa mbali.” Utenzi wa Daudi. Baada ya kukamatwa na Wafilisti huko Gathi.Kuomba MsaadaKwa mwimbishaji. Mtindo wa “Usiharibu!” Utenzi wa Daudi. Baada ya kumponyoka Sauli pangoni.Mungu Kuwaadhibu WaovuKwa mwimbishaji. Mtindo wa “Usiharibu!” Utenzi wa Daudi.Kuomba Ulinzi Wa MunguKwa mwimbishaji. Mtindo wa “Usiharibu!” Utenzi wa Daudi. Wakati Sauli alipotuma wapelelezi nyumbani mwa Daudi ili wamuue.Kuomba KuokolewaKwa mwimbishaji. Mtindo wa “Shushani Eduthi.” Utenzi wa Daudi wa kufundisha. Wakati alipopigana na Waaramu kutoka Aramu-Naharaimu na Aramu-Soba, naye Yoabu akarudi nyuma na kuwaua Waedomu 12,000 katika Bonde la Chumvi.Kuomba UlinziKwa mwimbishaji. Kwa ala za nyuzi za uimbaji. Zaburi ya Daudi.Mungu Kimbilio La PekeeKwa mwimbishaji. Mtindo wa Yeduthuni. Zaburi ya Daudi.Shauku Kwa Ajili Ya Uwepo Wa MunguZaburi ya Daudi. Wakati alipokuwa katika Jangwa la Yuda.Kuomba Ulinzi Dhidi Ya MaaduiKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Kusifu Na KushukuruKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Wimbo.Kusifu Mungu Kwa Ajili Ya Wema WakeKwa mwimbishaji. Wimbo. Zaburi.Mataifa Yahimizwa Kumsifu MunguKwa mwimbishaji. Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi. Wimbo.Wimbo Wa Taifa Wa Shangwe Kwa UshindiKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Wimbo.Kilio Cha Kuomba Msaada Wakati Wa DhikiKwa mwimbishaji. Mtindo wa “Yungiyungi.” Zaburi ya Daudi.Kuomba MsaadaKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Maombi.Kuomba Ulinzi Na Msaada Siku Zote Za MaishaMaombi Kwa Ajili Ya MfalmeZaburi ya Solomoni.KITABU CHA TATUHaki Ya MunguZaburi ya Asafu.Maombi Kwa Ajili Ya Taifa KuokolewaUtenzi wa Asafu.Mungu Ni MwamuziKwa mwimbishaji. Mtindo wa “Usiharibu!” Zaburi ya Asafu. Wimbo.Mungu Wa Israeli Ni Mhukumu Wa Dunia YoteKwa mwimbishaji. Kwa ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Asafu. Wimbo.Matendo Makuu Ya Mungu YanakumbukwaKwa mwimbishaji. Mtindo wa Yeduthuni. Zaburi ya Asafu.Mungu Na Watu WakeUtenzi wa Asafu.Maombi Kwa Ajili Ya Wokovu Wa TaifaZaburi ya Asafu.Maombi Kwa Ajili Ya Kuponywa Kwa TaifaKwa mwimbishaji. Mtindo wa “Yungiyungi za Agano.” Zaburi ya Asafu.Wimbo Wa SikukuuKwa mwimbishaji. Mtindo wa gitithi. Zaburi ya Asafu.Maombi Kwa Ajili Ya Kutaka HakiZaburi ya Asafu.Maombi Kwa Ajili Ya Kushindwa Kwa Adui Wa IsraeliWimbo. Zaburi ya Asafu.Kuionea Shauku Nyumba Ya MunguKwa mwimbishaji. Mtindo wa gitithi. Zaburi ya wana wa Kora.Maombi Kwa Ajili Ya Ustawi Wa TaifaKwa mwimbishaji. Zaburi ya wana wa Kora.Kuomba MsaadaMaombi ya Daudi.Sifa Za YerusalemuZaburi ya wana wa Kora. Wimbo.Kilio Kwa Ajili Ya Kuomba MsaadaWimbo. Zaburi ya wana wa Kora. Kwa mwimbishaji. Mtindo wa mahalathi leanothi. Utenzi wa Hemani Mwezrahi.Wimbo Wakati Wa Taabu Ya KitaifaUtenzi wa Ethani Mwezrahi.KITABU CHA NNEUmilele Wa Mungu Na Udhaifu Wa MwanadamuMaombi ya Mose, mtu wa Mungu.Mungu Mlinzi WetuWimbo Wa Kumsifu MunguZaburi. Wimbo wa siku ya Sabato.Mungu MfalmeMungu Mlipiza Kisasi Kwa Ajili Ya Wenye HakiWimbo Wa Kumsifu MunguMungu Mfalme MkuuMungu Mtawala MkuuMungu Mtawala Wa DuniaZaburi.Mungu Mfalme MkuuDunia Yote Yaitwa Kumsifu MunguZaburi ya shukrani.Ahadi Ya Kuishi Kwa Uadilifu Na Kwa HakiZaburi ya Daudi.Maombi Ya Mtu Mwenye TaabuMaombi ya mtu aliyechoka. Anapoteseka na kumimina malalamiko yake kwa Bwana.Upendo Wa MunguZaburi ya Daudi.Kumsifu MuumbaUaminifu Wa Mungu Kwa IsraeliWema Wa Bwana Kwa Watu WakeKITABU CHA TANOKumsifu Mungu Kwa Wema WakeKuomba Msaada Dhidi Ya AduiWimbo. Zaburi ya Daudi.Lalamiko La Mtu Aliyeko Kwenye ShidaKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Bwana Na Mfalme Wake MteuleZaburi ya Daudi.Sifa Za Bwana Kwa Matendo Ya AjabuBaraka Za Mwenye HakiKumsifu Bwana Kwa Wema WakeMaajabu Ya Mungu Wakati Israeli Walipotoka MisriMungu Mmoja Wa KweliShukrani Kwa Kuokolewa Kutoka MautiSifa Za BwanaShukrani Kwa Ajili Ya UshindiSifa Za Sheria Ya BwanaKujifunza Sheria Ya BwanaKutii Sheria Ya BwanaFuraha Katika Sheria Ya BwanaKuamua Kuitii Sheria Ya BwanaMaombi Ili Kupata Ufahamu Wa SheriaKuitumainia Sheria Ya BwanaMatumaini Katika Sheria Ya BwanaKujitolea Katika Sheria Ya BwanaThamani Ya Sheria Ya BwanaHaki Ya Sheria Ya BwanaMaombi Kwa Ajili Ya KuokolewaImani Katika Sheria Ya BwanaKuipenda Sheria Ya BwanaNuru Kutoka Kwenye Sheria Ya BwanaUsalama Ndani Ya Sheria Ya BwanaKuitii Sheria Ya BwanaShauku Ya Kuitii Sheria Ya BwanaHaki Ya Sheria Ya BwanaMaombi Kwa Ajili Ya KuokolewaMaombi Kwa Ajili Ya MsaadaKujiweka Wakfu Kwa Sheria Ya BwanaKuomba MsaadaKuomba MsaadaWimbo wa kwenda juu.Bwana Mlinzi WetuWimbo wa kwenda juu.Sifa Kwa YerusalemuWimbo wa kwenda juu. Wa Daudi.Kuomba RehemaWimbo wa kwenda juu.Shukrani Kwa Ukombozi Wa IsraeliWimbo wa kwenda juu. Wa Daudi.Usalama Wa Watu Wa MunguWimbo wa kwenda juu.Kurejezwa Kutoka UtumwaniWimbo wa kwenda juu.Bila Mungu, Kazi Ya Mwanadamu HaifaiWimbo wa kwenda juu. Wa Solomoni.Thawabu Ya Kumtii BwanaWimbo wa kwenda juu.Maombi Dhidi Ya Adui Za IsraeliWimbo wa kwenda juu.Kuomba MsaadaWimbo wa kwenda juu.Kumtegemea Mungu Kwa UnyenyekevuWimbo wa kwenda juu. Wa Daudi.Maskani Ya Mungu Ya Milele Katika SayuniWimbo wa kwenda juu.Sifa Za Pendo La UnduguWimbo wa kwenda juu. Wa Daudi.Wito Wa Kumsifu MunguWimbo wa kwenda juu.Wimbo Wa Sifa Kwa MunguWimbo Wa Kumshukuru MunguMaombolezo Ya Israeli UhamishoniMaombi Ya ShukraniZaburi ya Daudi.Mungu Asiyeweza KukwepwaKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Kuomba Ulinzi Wa MunguKwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.Maombi Ya Kuhifadhiwa Dhidi Ya UovuZaburi ya Daudi.Maombi Ya Kuokolewa Dhidi Ya WatesiUtenzi wa Daudi. Alipokuwa pangoni. Maombi.Maombi Ya Kuokolewa Dhidi Ya AduiZaburi ya Daudi.Mfalme Amshukuru Mungu Kwa UshindiZaburi ya Daudi.Wimbo Wa Kusifu Ukuu Na Wema Wa MunguWimbo wa Sifa. Wa Daudi.Kumsifu Mungu MwokoziKumsifu Mungu Mwenye Nguvu ZoteMwito Kwa Ulimwengu Kumsifu MunguWimbo Wa Kumsifu Mungu Kwa Wema WakeMsifuni Bwana Kwa Ukuu Wake